Monday, December 14, 2009

Sala ya Yesu

We have spent our last two Kiswahili lessons learning the Lord's prayer:

Sala ya Yesu:
Baba yetu uliye mbinguni
jina lako litukuzwe
ufalme wako ufike,
utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
Utupeleo mkate wetu wakila siku.
Utusamehe makosa yetu kama tunavyo wasamehe nasisi walio tukosea;
usitutie katika kishawishi lakini utuokoe na maovu.
kwakufa ni ufalme wake nguvu na utukufu ni wako milele.
Amina.

No comments: